WAKATI TANZANIA LEO INAADHIMISHA SIKU YA MAJI DUNIANI, JIJI LA DSM LIMEKUWA LIKIPOTEZA MAJI ZAIDI YA LITA MILLION 57 AMBAZO ZIMEKUWA ZIKIPOTEA KUPITIA KWA WATU WACHACHE AMBAO WAMEKUWA WAKIHUJUMU NA KUSABABISHA WANANCHI WENGI KUKOSA MAJI. JOTO TUMEZUNGUMZA NA WAKAZI WA JIJINI DAR ES SALAAM AMBAO WANAELEZA KERO MBALIMBALI WANAZOKUMBANA NAZO JUU YA MAJI SAFI NA SALAMA. KATIKA KUIADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA MAJI DUNIANI KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI PROFESA KITILA MKUMBO AMESHIRIKI MKUTANO WA DUNIA...