Joyce Ndalichako

Profesa Ndalichako Asikitishwa na Matokeo ya Jangwani Kidato cha Sita
Local News

Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako ameeleza kusikitishwa na matokeo mabaya ya Shule ya Sekondari Jangwani ambayo ni miongoni mwa zilizoshika mkia katika matokeo ya kidato cha sita. Amesema Serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika shule hiyo lakini ni miongoni mwa shule kumi zilizofanya vibaya. Shule hiyo kongwe na ya vipaji maalumu imeingia kwenye nafasi ya shule kumi zilizofanya vibaya katika matokeo yaliyotangazwa Julai 13, 2018 na Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta). Profesa Ndalichako amesema hayo leo Julai 17, 2018...

Like
620
0
Tuesday, 17 July 2018