kombe la Kagame

Filimbi ya Kagame Cup Kuanza Kupulizwa Leo
Sports

Michuano ya Kagame Cup inaanza rasmi leo kwa mechi tatu kupigwa ambapo saa 8 mchana JKU ya Zanzibari itaanza kibarua chake dhidi ya Vipers SC kutoka Uganda. Baadaye saa 10 mechi ya rasmi ya ufunguzi itakuwa baina ya mabingwa watetezi, Azam FC dhidi ya Kator FC kutoka Sudan Kusini. Baada ya mechi hiyo majira ya saa 1 jioni, Singida United itacheza na APR ya Rwanda. Tutarajie nini kwenye Mashindano haya...

Like
724
0
Friday, 29 June 2018
Tanzania Yaombwa Kuwa Mwenyeji Kombe la Kagame
Sports

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limepokea barua kutoka CECAFA ikiomba Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Kagame kwa ngazi ya klabu. TFF imepokea barua hiyo leo ikiitaka Tanzania iwe mwenyeji wa michuano hiyo ambayo mara nyingi hufanyika jijini Dar es Salaam inapotokea Tanzania kwa mwenyeji. Kwa mujibu wa Afisa Habari wa TFF, Clifford Mario Ndimbo, amethibitisha shirikisho hilo kupokea barua hiyo na kuahidi kuifanyia kazi. “Ni kweli tumepokea barua ya CECAFA ikiomba Tanzania tuwe wenyeji wa michuano ya...

Like
419
0
Saturday, 31 March 2018