liverpool

Loris Karius: Kipa wa Liverpool atishiwa maisha baada ya makosa dhidi ya Real Madrid fainali ya ubingwa Ulaya
Sports

Polisi wa eneo la Merseyside, Uingereza wamesema wanafahamu kuhusu vitisho vya maisha ambavyo vimetolewa dhidi ya mlinda lango wa Liverpool Loris Karius baada ya kuchezwa kwa fainali ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya Jumamosi. Maafisa wamesema vitisho vyovyote vinavyotolewa kupitia mitandao ya kijamii vinafaa kuchunguzwa. Karius, 24, na familia yake wamekuwa wakipokea vitisho baada ya makosa mawili kutoka kwake kuwasaidia Real Madrid kupata ushindi wa 3-1. “Tunachukulia ujumbe huu wa vitisho kwenye mitandao ya kijamii kwa uzito sana. Visa...

Like
583
0
Monday, 28 May 2018
MOHAMEDI SALAH HASHIKIKI USAJILI ULAYA
Sports

Kwa mujibu wa jarida la “the sun” limeripoti kuwa Mshambuliaji wa Liver aliye katika fomu hivi sasa, Mmsiri , Mohamed Salah, anawaniwa na timu tofauti za Ulaya. PSG, Real Madrid na F.C Barcelona ndiyo klabu zinazonyatia saini ya mchezaji huyo ili kuweza kumsajili. Dau la pauli milioni 200 litakalounja rekodi ya uhamisho , ndiyo kuwa linaweza kumng’oa mchezaji huyo kutoka Liverpool. Salah ameifungia Liverpool jumla ya mabao 28 katika msimo huu wa ligi kuu England....

Like
1556
0
Tuesday, 20 March 2018