maktaba ya E-digital

UNAJUA KAMA KUPUMUA KWA NJIA YA MAKALIO “KUJAMBA” KUNA FAIDA KIAFYA?
Global News

Kutoka maktaba ya E-digital leo tuna Funny Facts Friday sasa wacha tuone ni kwa kiasi gani kuna faida kiafya kupumua au kutoa hewa chafu kwa njia ya makalio Kupumua ni kazi muhimu na ya kawaida katika mwili wa binaadamu hasa katika kusaidia kumengenya chakula na kutoa gas isiyotumika tena tumboni. Binaadamu wa kawaida anatoa upepo mara 14 kwa siku kiasi unaweza kujaza upepo kwenye puto kubwa la size ya kati Utafiti unathibitisha kuwa kuvuta harufu mtu aliyepumua husaidia kuzuia viharusi,...

Like
1474
0
Wednesday, 14 March 2018