messi

Kimahesabu Argentina Ishatoka kwenye Hatua ya Makundi Kombe la Dunia
Sports

Kikosi cha timu ya taifa ya Argentina kimeshindwa kutamba mbele ya Croatia baada ya kukumbana na kichapo cha mabao 3-0. Mabao ya mchezo huo wa kundi D yaliwekwa kimiani na Luca Modric, Ivan Rakitic na Ante Rebic. Kufuatia kichapo hicho walichokipata Argentina kinawafanya wasalie na alama moja waliyoipata dhidi ya Iceland baada ya kwenda sare ya 1-1 wakiwa nafasi ya 3. Nyota wa timu hiyo, Lionel Messi alionekana kuwa na machungu kufuatia kichapo hicho ambacho ni kama dhamaha kubwa kwake....

Like
545
0
Friday, 22 June 2018
BALCELONA YAIDHIBU  CHELSEA NA KUITOA NJEE YA MASHINDANO YA UEFA CHAMPIONI LIGI
Slider

  Baada ya Manchester United Jana kutupwa nje na Sevilla kutoka Hispain kwa kufungwa mabao 2-1, jana usiku ilikuwa ni zamu ya Chelsea Kutupwa Nje ya Mshindano ya Kombe la UEFA Championi Ligi na kufungwa Na Barcelona Mabao 3-0, magoli ya Barcelona yaliwekwa kimyani na Messi ambaye alifunga mabao 2, goli la kwanza alifunga dakika ya 2 na goli lake la pili alifunga kwenye dakika ya 63, na goli la tatu lilifungwa na Ousmane Dembele dakika ya 20. Kwa matokeo...

Like
680
0
Thursday, 15 March 2018