Moise Katumbi

MOISE KATUMBI ANZISHA CHAMA CHAKE CHA SIASA AKIWA AFRIKA KUSINI
Global News

Rais wa klabu ya TP Mazembe ya katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Moise Katumbi amejitosa kwenye ulingo wa siasa, anazindua chama chake akiwa Afrika Kusini. Katumbi ni kiongozi wa upinzani ambaye yupo uhamishoni kutoka DR Congo baada ya kutengana na Rais Joseph Kabila. Katumbi ambaye amewahi kuwa Gavana wa jimbo tajiri zaidi nchini humo Katanga alijiuzulu na kumshtumu rais Kabila kwa uongozi duniani. Moise Katumbi ni kiongozi wa pekee wa upinzani nchini Congo ambaye ana ushawishi mkubwa na ufuasi...

Like
278
0
Monday, 12 March 2018