Mzee Akili mali

Mzee Yahaya Akilimali Atangaza nia ya Kuwania Uwenyekiti wa Klabu ya Yanga sc
Sports

Mzee Yahaya Akilimali leo asubuhi kupitia kwenye kipindi cha Sport HQ kinachorushwa na Efm Redio ametanganza nia ya kugombea Uwenyekiti wa Timu ya Yanga mwaka huu Amesema hayo baada yeye mwenyewe kukili kwamba ndani ya klabu ya Yanga kuna matatizo hivyo yeye ndio mtu sahii kuinusuru Yanga sc kwa sasa. Alienda mbali Zaidi na kusema ukiona Mbwa anabweka ujue mwenye Mbwa yupo jirani na huyo Mbwa. Wengi wanbeza kauli yake anaonekana ni kama mtu ambaye yeye anatumwa na watu kuweza...

Like
593
0
Thursday, 31 May 2018