Padri wa Kanisa Katoliki

Padri mwimba Rap asimamishwa kazi
Global News

Padri wa Kanisa Katoliki aliyejizolea umaarufu nchini Kenya kwa kutoa ibada kwa mtindo wa ku-rap,Paul Ogalo maarufu kwa jina la ‘Sweet Paul’ amesimamishwa kazi. Padri Ogalo (45) amekuwa akitumia staili ya ku-rap kuwashawishi vijana nchini Kenya kwenda kusali ili wajiweke karibu na Mungu. Taarifa hiyo ya kusimamishwa kazi kwa Padri huyo imetolewa na Askofu Mkuu wa jimbo Katoliki la Homa Bay, Philip Anyolo ambaye amemtaka padri huyo achague kati ya kuwa rapper au kuwa Padri. Kwa mujibu wa Gazeti la...

Like
505
0
Tuesday, 26 June 2018