singida united

SINGIDA WATOA TAMKO LAO JUU YA SUALA LA FEI TOTO KUSAINI YANGA
Sports

Baada ya kiungo Feisal Abdallah ‘Fei Toto’ kutambulishwa na Yanga jioni ya jana kwa kusainishwa mkataba wa miaka miwili, Uongozi wa Singida United umeibuka na kueleza kuwa hatima yake itaamuliwa na TFF pamoja na Bodi ya Ligi. Mapema jana asubuhi ripoti kutoka Singida zilisema wamemalizana na Toto kwa kuingia naye mkataba wa miaka mitatu usio wa awali huku picha na video zikisambaa mitandaoni kuhusiana na usajili wake ndani ya Singida United. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Singida United, Festo Sanga,...

1
621
0
Friday, 13 July 2018
Michuano ya Super Cup Kuendelea leo Singida United Vs Fc Leopard
Sports

Patashika Nguo Kuchanika nchini Kenya ambapo Michuano ya Super Cup Yanaendelea. Leo Wawakilishi wengine wa Tanzania, Singida United itatupa karata yake ya kuwania kuingia nusu fainal itakapo kukutana na FC Leopard, ya Kenya kwenya michuano hiyo. Jana tulishuhudia mnyama akitinga hatua ya Nusu fainal ya michuano hiyo baada ya kuwafunga timu ya Kariobang Sharks kwa penati 2-3. Ratiba inaonesha Simba watakutana na Wababe wa Yanga, Kakamega Homeboyz kesho, na mshindi wa leo kati ya Singida United dhidi ya FC Leopard...

1
1081
0
Tuesday, 05 June 2018