taifa stars

Taifa Stars Yajiliwaza kwa DRC Congo, Yaifunga Mabao 2-0
Sports

Taifa Stars imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika mchezo wa kirafiki uliopigwa jana. Stars ilifunga mabao yake kipindi cha pili baada ya kile cha kwanza kwenda suluhu ya 0-0  kupitia kwa Mbwana Samatta na Shiza Ramadhan Kichuya. Stars ilipata ushindi huo ikiwa imetoka kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Algeria kwa jumla ya mabao 4-1 huko Algiers. Kocha wa Taifa Stars, Mayanga ameeleza kuwa mchezo huo ulikuwa vizuri kutokana na vijana wake kuonesha...

Like
782
0
Wednesday, 28 March 2018