watoto waliopotea

Vijana 12 waliokwama pangoni kwa siku 9 Thailand wapatikana hai
Global News

Video fupi imetolewa ikiwaonesha wajumbe wajumbe wa kikosi cha timu ya soka ya Thailand waliokutwa wakiwa hai ndani ya pango lililotandaa na pia lililo fura maji . Kugunduliwa na kuokolewa kwa wavulana kumi na wawili na kocha wao mmoja wakiwa hai baada ya siku tisa za kunaswa katika pango upande wa Kaskazini mwa nchi hiyo ya Thailand kumesababisha kuwa gumzo katika vyombo mbali mbali vya habari ulimwenguni. Sauti ya kwanza kuisikia baada ya siku tisa ni ya bwana Briton John...

Like
495
0
Tuesday, 03 July 2018