yanga sc

UONGOZI YANGA WAWEKA HADHARANI VIINGILIO VYA MCHEZO DHIDI YA GOR MAHIA
Sports

Uongozi wa klabu Yanga umetangaza viingilio vya mchezo wa mkondo wa pili dhidi ya Gor Mahia FC utakaopigwa Uwanja wa Taifa, Julai 29 2018. Kueleka mchezo huo wa Kombe la Shirikisho Afrika, Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten, amesema kuwa kiingilio cha chini kabisa kitakuwa ni shilingi 3000 pekee ambacho ni kwa jukwaa la mzunguko. Katika jukwaa la VIP A kiingilio kitakuwa ni Tshs 10,000 huku VIP B na C kikiwa ni 7,000 pekee. Yanga inaenda kucheza mchezo huo ikiwa...

1
593
0
Wednesday, 25 July 2018
Yanga Sc Dimbani Leo Dhidi ya Gor Mahia ya Kenya
Sports

Yanga Sc leo inashuka dimbani kupambana na Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa majira ya saa moja jioni jijini Nairobi, Kenya Tutarajie matokeo ya aina gani kwenye mchezo...

1
810
0
Wednesday, 18 July 2018
Benchi la ufundi la Yanga laanza kumeguka, Kocha Msaidizi Shadrack Nsajigwa Abwaga Manyanga
Sports

Huku hali ikiwa tete ndani ya Klabu ya Yanga SC na baadhi ya wajumbe wa kamati tendaji kuachia ngazi nalo benchi la ufundi laanza kumeguka ambapo kocha msaidizi na nahodha wa zamani wa timu hiyo Shadrack Nsajigwa “FUSO” kuachia ngazi na kutoa ujumbe mzito kwa wanayanga Timu ya Yanga Sc Tangia aondoke kocha wake mkuu Lwandamina kuondoka ndani ya timu hyo Yanga haifanyi vizuri ampapo imeweza kushinda mechi moja tu dhidi ya Mbao Fc....

Like
731
0
Tuesday, 05 June 2018
REKODI YA YANGA SC TANGU AONDOKE LWANDAMINA
Sports

Hapa nimekuwekea michezo na Matokeo yote waliyoyapa yanga baada ya Kuondoka kocha wao  Lwandamina   Aprili 11, 2018; Yanga 1-1 Singida United (Ligi Kuu Dar es Salaam) Aprili 18, 2018; Welayta Dicha 1-0 Yanga SC (Kombe la Shirikisho) Aprili 22, 2018; Mbeya City 1-1 Yanga SC (Ligi Kuu Mbeya) Aprili 29, 2018; Simba 1 – 0 Yanga SC (Ligi Kuu Dar es Salaam) Mei 6, 2018; USM Alger 4-0 Yanga SC (Kombe la Shirikisho Algiers) Mei 10, 2018; Tanzania Prisons...

Like
1024
0
Monday, 04 June 2018
YANGA YASHINDWA KUTAMBA NYUMBANI, YATOKA SARE NA RAYON SPORTS
Sports

Timu ya Yanga imeshinwa kuutumia vema uwanja wake wa nyumbani kwenye michuano ya Kombe la shirikisho barani Afrika,  baada ya kutoka sare tasa ya bila kufungana na Rayon Sports ya Rwanda Katika mchezo huo ambao ulipigwa kwenye dimba la Taifa, Yanga watajiraumu wenyewe baada ya kukosa nafasi nyingi za wazi. Kwa upande wa Rayon Sports wamepoteza nafasi mbili ambazo walifunga mabao mawili lakini yote yalikataliwa na muamuzi kutokana wachezaji waliofunga  walikuwa offside. Matokeo ya Mechi nyingine katika kundi hilo ni...

1
547
0
Wednesday, 16 May 2018
YANGA SC KUIVAA RAYON SPORT BILA MASTAA WAKE
Sports

Timu ya Yanga leo majira ya saa moja usiku kitashuka dimbani kwenye uwanja wa Taifa kuumana na Rayon Sport ya Rwanda katika mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, bila wachezaji wake nyota ambao ni Amis Tambwe bado hajaimarika vizuri kiafya, Donald Ngoma, Beno Kakolanya ambaye alijitonesha goti lake katika mechi ya ligi dhidi ya Tanzania Prisons, Ibrahim Ajibu aliye na matatizo ya kifamilia, na Papy Kambamba Tshishimbi aliyesafiri kurejea kwao kutokana na matatizo ya kiafya kwa ajili ya...

1
964
0
Wednesday, 16 May 2018