TANGAZO KUTOKA CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU WILAYA YA ILALA

TANGAZO KUTOKA CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU WILAYA YA ILALA

Like
456
0
Thursday, 19 February 2015
Slider

Chama cha mpira wa miguu wilaya ya ilala IDYOUTH kinawatangazia kutawakuwa na michezo miwili ya nusu fainali ya under 17 siku ya jumapili katika uwanja wa chuo cha magereza kati ya Lil boyz vs Vumbua vipaji na Colon vs Manyota ya ilala

Mgeni rasmi anatrajiwa kuwa Ruvu kiwanga imetolewa na afisa habari wa chama Musa Pepo

Comments are closed.