TARIME: WANANCHI WAMTAKA DIWANI KUTEKELEZA AHADI ZAKE

TARIME: WANANCHI WAMTAKA DIWANI KUTEKELEZA AHADI ZAKE

Like
341
0
Thursday, 12 November 2015
Local News

WANANCHI wa kata ya Turwa wilayani Tarime Mkoani Mara wamemtaka diwani wao kutekeleza ahadi alizo ahidi wakati wa kampeni zake  ikiwemo kutatua tatizo la ukosefu wa maji safi na salama.

Wakizungumza na Efm wakazi hao wamemtaka kiongozi huyo atakapoanza kutekeleza majuku yake aanze na matatizo yaliyopo kwenye kata hiyo yanayowakabili kwa muda mrefu.

Kwa upande wake kiongozi Mteule ambaye ni diwani wa kata hiyo Zakayo Wangwe amesema kuwa atahakikisha anawatumikia wananchi ipasavyo kwa lengo la kuleta maendeleo ya haraka.

Comments are closed.