TAZAMA PICHA ZA UANDAAJI WA VIDEO MPYA YA BUSHOKE NCHINI S.AFRIKA

TAZAMA PICHA ZA UANDAAJI WA VIDEO MPYA YA BUSHOKE NCHINI S.AFRIKA

Like
639
0
Wednesday, 15 October 2014
Entertanment

Msanii kutoka Tanzania ambae alikuwa kimya kwa muda mrefu na baadae kuachia kazi zake kadhaa, ameonyesha nia ya dhati kurudi kwenye tasnia ya muziki wa kizazi kipya yani Bongofleva.

katioka wimbo huo bushoke amemshirikisha msanii kutoka Uganda FACEE OFF na ngoma yenyewe ameipa jina la SHE WANTS IT, na umeimbwa katika lugha tatu ambazo ni Kiswahili, Kiganda na Kingereza

video inafanywa chini ya kampuni ya DIRTY SOUL huko Capetown South Africa

IMG_2182 IMG_2183 IMG_2187

Comments are closed.