TEKNOLOJIA YAIWEZESHA SEKTA YA FEDHA KUPIGA HATUA

TEKNOLOJIA YAIWEZESHA SEKTA YA FEDHA KUPIGA HATUA

Like
371
0
Wednesday, 04 May 2016
Local News

SERIKALI imesema kuwa maendeleo katika sekta ya fedha kwa kutumia teknolojia yamepiga hatua kubwa kwa  kupitia mkonge wa Taifa imekuwa rahisi kwa Watanzania kutumia na kuchochea kasi ya biashara na kujenga uchumi wa Taifa kwa ujumla.

Akizungumza na E fm Jijini Dar es salaam Naibu Waziri fedha na Mipango Dokta Ashatu Kijaji amesema kuwa Watanzania wana nafasi kubwa ya kutumia teknolojia hiyo vizuri na itasaidia kuinua uchumi na kuchochoea maendeleo ya Taifa.

Amebainisha kuwa Serikali imejipanga vizuri katika kudhibiti udanganyifu na uhalifu wa miamala hiyo na kuwa tayari zipo njia mbalimbali za kudhibiti ambazo zinafanya kazi sanjari na sheria zilizopo

Comments are closed.