Beki wa kati wa klabu ya Borussia Dortimund MATS HUMMEL amesema kuwa hana mpango wa kuihama klabu hiyo kwa sasa.
Klabu ya Manchester United imeandaa paundi milioni 15 ili kumsajili beki wa klabu ya Barcelona GERARD PIQUE
(Telegraph)
Klabu ya Wolfsburg ipotayari kutoa kitita cha paundi milioni 23 ili kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Chealsea ANDRE SCHURRLE lakini klabu hiyo imekataa dau hilo inahitaji paundi milioni 30.
Kiungo wa klabu ya Arsenal FRANCIS COQUELIN yupotayari kusani mkataba mpya katika klabu hiyo marabaada ya kuonekana kuwa na kiwango toka aliporudi kutoka katika klabu ya chalton alipokua anakipiga kwa mkopo.
(Independent)
Mshambuliaji wa klabu ya Palermo PAULO DYABALA amesema kuwa hana mpango wa kuihama timu hiyo kwa sasa.
(Daily Mail)
Klabu ya Bayer Leverkusen ipotayari kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Liverpool ROBERTO SOLDADO.
Kiungo wa timu ya taifa Norway MARTIN ODEGARD amesema kuwa siku yoyote anaweza kujiunga na klabu ya Real Madrid.