THT KUADHIMISHA MIAKA 10

THT KUADHIMISHA MIAKA 10

Like
562
0
Friday, 30 January 2015
Entertanment

Baadhi ya wanamziki kutoka THT walitua katika kituo cha 93.7 EFM katika kipindi cha Genge ambacho kinatangazwa na Snahlicious pamoja na Baghdad kuanzia saa tatu asubhi mpaka saa sita mchana.

 THT wanaadhimisha miaka kumi hapo kesho tangu kuanzishwa kwa taasisi hiyo.

 Maadhimisho hayo yatafanyika katika ukumbi wa Escape one na itashirikisha wasanii mbali mbali,wazamani na wapya kutoka katika taasisi hiyo.

 Miongoni mwa wasanii watakao kuwepo kutoka THT ni pamoja na Linah, Mwasiti, Barnaba, Amini, Marlaw, Maunda Zorro, Dream na kadhalika.

 THT ni taasisi inayosaidia vijana kukuza vipaji katika uimbaji,upigaji wa vyombo vya muziki pamoja na kuigiza na ushoni.

20150130_120117 20150130_120120

Comments are closed.