TPA YATOA MSAADA HOSPITALI YA WILAYA KISARAWE

TPA YATOA MSAADA HOSPITALI YA WILAYA KISARAWE

Like
365
0
Monday, 21 March 2016
Local News

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetoa msaada wa Vitanda 20, Magodoro 20 na Shuka 100 kwa Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani.

 

Vitanda hivyo vya kisasa aina ya ‘Cardiac, mashuka pamoja na magodoro yake vilivyokabidhiwa katika hospitali hiyo ya wilaya vina thamani ya shilingi za kitanzania milioni 13.

 

Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo, Meneja Mawasiliano wa TPA, Bi. Janeth Ruzangi amesema msaada huo ni sehemu ya wajibu wa Mamlaka kuisaidia jamii ya Watanzania.

Pic Na 1

 

 

Comments are closed.