TUME ya Taifa ya uchaguzi leo imetangaza rasmi ratiba ya uchaguzi mkuu kwa mujibu wa mamlaka iliyopewa kikatiba.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na kusainiwa na mwenyeki wa tume hiyo jaji mstaafu DAMIAN LUBUVA imesema kuwa uteuzi wa wagombea katika vyama kwa ngazi ya urais, ubunge na udiwani utafanyika Agosti 21 mwaka huu.