TUZO ZA OSCAR: VAZI LA X- WA CRISTIANO RONALDO LAZUA UTATA

TUZO ZA OSCAR: VAZI LA X- WA CRISTIANO RONALDO LAZUA UTATA

Like
396
0
Tuesday, 24 February 2015
Entertanment

Kama haukubahatika kutazama sherehe za ugawaji wa tuzo za Oscar huko Marekani basi hii inakuhusu

Tuzo hizo za awamu ya 87 za Oscar zilifanyika February 22, 2015, huko Hollywood Dolby Theatre kwenye jiji la Los Angels.

Katika sherehe hizo mastar wengi wa Hollywood walihudhuria akiwemo aliyekuwa mpenzi wa mchezaji nyota duniani Cristiano Ronaldo Irina Shayk.

Vazi la mrembo huyu liliwaacha vinywa wazi baadhi ya wanaume waliokuwa kwenye sherehe hiyo

Comments are closed.