UANDIKISHWAJI WA WAPIGA KURA WADORORA

UANDIKISHWAJI WA WAPIGA KURA WADORORA

Like
494
0
Tuesday, 25 November 2014
Local News

UANDIKISHAJI wa Wananchi katika daftari la wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao umeshaanza umeonekana kudorora.

Hayo yamebainika baada ya EFM kutembelea vituo mbalimbali vya kujiandikisha jijini Dar es salaam.

Akizungumza na EFM Mmoja wa Mawakala wa Uandikishaji Mtaa wa Msolome Kinondoni B ABDAN SENGODA ameeleza kuwa mahudhurio ya Wananchi sio mazuri tangu zoezi hilo lilipoanza.

Comments are closed.