UBELGIJI YAFANYA OPERESHENI KUSAKA MAGAIDI

UBELGIJI YAFANYA OPERESHENI KUSAKA MAGAIDI

Like
306
0
Friday, 16 January 2015
Global News

 

SERIKALI ya Ubelgiji imefanya operesheni kali ya ugaidi ikiwasaka watuhumiwa wanaodaiwa ni wapiganaji wa kiislamu waliorejea kutoka Syria.

Watuhumiwa wawili wa ugaidi wameuawa na mmoja anashikiliwa na vyombo vya usalama katika mji wa Vere viee , baada ya Watu hao kuwashambulia polisi kwa bomu.

Meya wa mji huo anasema sasa hali ni shwari na inaelezwa kuwa Polisi iliwashuku kuwa watu hao walikua na mipango ya kutekeleza shambulio la kigaidi dhidi ya maafisa wa polisi na kwenye vituo vya Polisi.

 

 

Comments are closed.