UFARANSA YASHAURI KUCHELEWESHWA KWA UCHAGUZI FIFA

UFARANSA YASHAURI KUCHELEWESHWA KWA UCHAGUZI FIFA

Like
251
0
Thursday, 28 May 2015
Slider

WAZIRI wa Mambo ya nje wa Ufaransa amesema itakuwa ni busara kuuchelewesha uchaguzi wa kumchaguwa rais mpya wa Shirikisho la Soka la Kimataifa FIFA uliopangwa kufanyika hapo kesho kutokana na uchunguzi mpya kuhusu rushwa dhidi ya shirikisho hilo.

Akizungumza siku moja baada ya mchezo wa soka kutumbukizwa kwenye machafuko kufuatia kukamtwa kwa maafisa wa FIFA kutokana na madai ya rushwa yaliyotolewa na Marekani Laurent Fabius amesema muda unahitajika ili kuweza kufahamika nini hasa kitakachoendelea.

 

Comments are closed.