UFISADI: ALIYEKUWA RAIS WA BRAZIL AKAMATWA

UFISADI: ALIYEKUWA RAIS WA BRAZIL AKAMATWA

Like
265
0
Friday, 04 March 2016
Global News

MAAFISA wa polisi nchini Brazil wamemkamata aliyekuwa rais wa nchi hiyo Luiz Inacio da Silva ikiwa ni miongoni mwa mpango wa kuchunguza ufisadi dhidi yake.

Mali zote zinazohusishwa naye ikiwemo nyumba yake na taasisi ya yake ya Lula zimevamiwa na Maafisa hao ili kuzuia shughuli yoyote ya uhujumu kufanyika.

Da Silva atahojiwa kuhusu madai kwamba amefaidika na mpango wa rushwa uliokuwa ukiendeshwa na kampuni hiyo.

Comments are closed.