UGIRIKI YAPIGANIA KUREGEZWA KAMBA KATIKA MVUTANO WA MADENI

UGIRIKI YAPIGANIA KUREGEZWA KAMBA KATIKA MVUTANO WA MADENI

Like
239
0
Wednesday, 18 February 2015
Global News

IMEELEZWA kuwa kuna dalili za kulegezwa kamba katika mvutano wa madeni kati ya Ugiriki na nchi za kanda ya Euro.

Kwa mujibu wa duru za serikali mjini Athens,Waziri wa Fedha wa Ugiriki YANNIS VAROUFAKIS amepanga muda wa mpango wa misaada urefushwe.

Muda huo ulikuwa umalizike mwishoni mwa mwezi huu.

Comments are closed.