UINGEREZA KUTOA MAFUNZO KWA MAJESHI YA UKRAINE

UINGEREZA KUTOA MAFUNZO KWA MAJESHI YA UKRAINE

Like
256
0
Thursday, 26 February 2015
Global News

UINGEREZA inapanga kuwapatia mafunzo wanajeshi wa serikali ya Ukraine.

Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron amesema mjini London kuwa kundi la wataalamu wa kijeshi watapelekwa katika jamhuri hiyo ya zamani ya Kisovieti wiki ijayo.

Kwa mujibu wa shirika moja la habari la Uingereza, kundi hilo litakuwa na wanajeshi 75, japokuwa hakuzungumzia uwezekano wa kupatiwa silaha wanajeshi wa Ukraine.

 

Comments are closed.