UKATILI WA JINSIA KWA WATOTO WAONGEZEKA DAR

UKATILI WA JINSIA KWA WATOTO WAONGEZEKA DAR

Like
315
0
Monday, 17 November 2014
Local News

 

IMEELEZWA kuwa vitendo vya Ukatili wa Jinsia kwa Watoto vimeongezeka katika Mkoa wa Dar es salaam katika kipindi cha January hadi September mwaka huu.

Taarifa iliyotolewa na Chama Cha Waandishi wa Habari wanawake Tanzania-TAMWA imeeleza kuwa katika miezi tisa Pekee vitendo hivyo vimefikia 519.

Zanzibar imeshika nafasi ya Pili kwa kuwa na ongezeko kubwa la vitendo vya ukatili wa Jinsia ikiwa na idadi ya 219, ikifuatiwa na Shinyanga 69, Mara 62,Tabora 55,Morogoro 36, Kagera 32 na Pwani 20.

Comments are closed.