UKUMBI WA NKURUMAH WA CHUO KIKUU CHA UDSM WAINGIZWA KWENYE URITHI WA TAIFA

UKUMBI WA NKURUMAH WA CHUO KIKUU CHA UDSM WAINGIZWA KWENYE URITHI WA TAIFA

Like
355
0
Tuesday, 14 April 2015
Local News

SERIKALI imeuingiza kwenye urithi wa taifa,Ukumbi wa Nkurumah wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam,UDSM.

Tukio hilo la kihistoria limefanyika katika ukumbi huo,ambapo Waziri wa Maliasili na Utalii,LAZARO NYALANDU,ametia saini makubaliano ya kuingiza ukumbi huo kwenye urithi wa Taifa.

Akizungumza katika hafla hiyo,Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam,Profesa RWEKEZA MUKANDALA,anesema tukio hilo ni muhimu kwa UDSM.

Comments are closed.