VIDEO: EFM YAWAASA VIJANA KUSHIRIKI CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA

VIDEO: EFM YAWAASA VIJANA KUSHIRIKI CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA

Like
314
0
Friday, 12 December 2014
Local News

 

Vijana wa  TANZANIA  wameaswa kujitokeza kwa wingi kushiriki Chaguzi mbalimbali hususani huu wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Desember 14 mwaka huu ili kupata viongozi bora kwa manufaa ya Taifa.

Wito huo umetolewa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa EFM Radio FRANCIS SIZA wakati wa mahojiano katika kipindi cha Joto la Asubuhi ambapo amesema kuwa ni wakati muafaka kwa vijana kutumia fursa hiyo kuchagua viongozi watakaosaidia nchi kufikia katika malengo ya kuwa na maendeleo pamoja na uchumi Imara.

Amewaomba watanzania kudumisha Amani iliyopo kwani Amani ni msingi mzuri wa kumsaidia yoyote kufanya kazi kwa Uhuru.

Comments are closed.