VIDEO: FAHAMU KIPAJI KINGINE CHA ADEBAYOR MBALI NA KUSAKATA KABUMBU

VIDEO: FAHAMU KIPAJI KINGINE CHA ADEBAYOR MBALI NA KUSAKATA KABUMBU

Like
296
0
Wednesday, 25 February 2015
Slider

Kama ukiulizwa orodha ya wachezaji wa mpira wa miguu barani Afrika wenye uwezo wa kucheza na mapenzi ya muziki pia basi bila shaka hutomsahau Emmanuel Adebayor.

Richa ya uwezo wake wa kusakata kabumbu Adebayor pia ni dancer mzuri saana katika kulithibitisha hili tazama hii video

Mchezaji huyo ambae ni raia wa Togo kwa sasa anaichezea klabu ya Tottenham Hotspur klabu ya ligi kuu ya Uingereza

Mchezaji huyo pia aliwahi kuchezea Monaco, Arsenal, na Manchester City

 

Comments are closed.