MRENGO wa vijana kutoka chama tawala cha Afrika Kusini-ANC– Youth League umesema unapanga kufanya sherehe ya tohara ya kitamaduni kwenye milima maalum iliyopo nchini humo.
Shirika la Turathi la Umoja wa Mataifa-UNESCO– limetangaza eneo hilo la “Table Mountains” kuwa turathi kwa sababu kuna mimea ya kipekee zaidi ya aina elfu tano.
Taarifa ya vijana hao wa –ANC– katika jimbo la Western Cape imesema hakuna ardhi ya kufanyiwa tohara ya utamaduni ingawa bado haijabainika ikiwa watapata idhini ya kuendesha shughuli hiyo.
Vijana wanaotahiriwa