VIJANA WATAKIWA KUJIUNGA NA TAALUMA YA MASOMO YA SAYANSI

VIJANA WATAKIWA KUJIUNGA NA TAALUMA YA MASOMO YA SAYANSI

Like
322
0
Monday, 19 January 2015
Local News

IDARA ya Ajira Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma  imetoa rai kwa vijana wote nchini waliopo shuleni kujikita zaidi kwenye taaluma ya masomo ya sayansi  kwani sekta ya Sayansi ni moja ya Sekta yenye uhitaji mkubwa wa wataalam hao katika Nyanja mbalimbali za utumishi wa umma.

Rai hiyo imetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Katibu Msaidizi kutoka Idara ya Ajira katika Utumishi wa Umma MALIMI MUYA alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.

Bwana MUYA amefafanua kuwa uhaba wa wataalamu hao unapatikana hususani kwenye sekta za gesi, mifugo, kilimo sanjari na mafundi mchundo.

Comments are closed.