VIONGOZI WA KANISA LA BAPTIST WAPIGWA NA KUTEKWA NYARA GUINEA

VIONGOZI WA KANISA LA BAPTIST WAPIGWA NA KUTEKWA NYARA GUINEA

Like
178
0
Wednesday, 21 January 2015
Global News

VIONGOZI watatu wa kanisa la Baptist nchini Guinea wamepigwa na kisha kutekwa nyara baada ya wenyeji kudhani kwamba  walikuwa  maafisa wanaohamasisha jamii dhidi ya ugonjwa wa Ebola .

Viongozi hao walikuwa wametembelea kijiji cha kabac eneo la forecariah wakilenga kufukiza dawa ya wadudu kwenye kuta za vyoo vya umma  ikiwa ni sehemu pia ya kujipatia  huduma ya maji .

Taarifa zimesema kuwa wanakijiji hao walipowaona waliwashuku kuwa wanataka kueneza ugonjwa wa ebola  katika eneo hilo .

 

Comments are closed.