WAFUNGWA 2 WA GUANTANAMO WAHAMISHIWA GHANA

WAFUNGWA 2 WA GUANTANAMO WAHAMISHIWA GHANA

Like
216
0
Thursday, 07 January 2016
Global News

WAFUNGWA wawili waliokuwa wakizuiliwa katika gereza la Guantanamo Bay, Cuba, wamehamishiwa Ghana.

 

Wizara ya Ulinzi ya Marekani imesema idhini ilitolewa kwa Khalid al-Dhuby kuachiliwa huru 2006 na kwa Mahmoud Omar Bin Atef mwaka 2009.

 

Wawili hao, wanaotoka Yemen, wamezuiliwa kwa zaidi ya mwongo mmoja na hawajawahi kufunguliwa mashtaka.

Comments are closed.