WAJASILIAMALI WAHAMASISHWA KUKOPA KUJIWEZESHA

WAJASILIAMALI WAHAMASISHWA KUKOPA KUJIWEZESHA

Like
322
0
Wednesday, 12 November 2014
Local News

WAJASIRIAMALI wa vikundi vya Silki nchini,wametakiwa kukopa fedha na kurejesha kwa wakati ili kuwawezesha wengine kukopa.

 

Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro MOHAMED LEKULE ameeleza hayo wakati wa kugawa hisa katika vikundi vya Pambazuko na Dhahabu, vilivyo chini ya Silki mjini humo.

 

Amebainisha kuwa ni vyema Wanachama wa Vikundi hivyo wakawa na utaratibu wa kukopa fedha kwa ajili kuendesha miradi mbalimbali na kuwataka kurejesha mikopo hiyo kwa wakati ili kuwawezesha wanachama wengine kukopa.

 

Comments are closed.