WALINZI WA RAIS WAIPINDUA SERIKALI YA BURKINA FASO

WALINZI WA RAIS WAIPINDUA SERIKALI YA BURKINA FASO

Like
231
0
Thursday, 17 September 2015
Global News

KIKOSI cha walinzi wa rais kimeipindua Serikali ya mpito ya Burkina faso na kimetangaza katika runinga ya taifa kwamba kimevunja kile ilichokitaja kuwa serikali ya mpito isiyoambilika.

Mwanachama wa kikosi hicho jenerali Gilbert Diendere ametajwa kuwa kiongozi mpya wa mpito.

Mipaka yote imefungwa huku amri ya kutotoka nje ikiwekwa na Mkuu wa bunge amelitaka jeshi kuingilia kati ili kuzuia hatua hiyo aliyoitaja kuwa ya kundi dogo la wanajeshi.

Comments are closed.