WAMILIKI WA VIWANDA WAONGEZEWA MUDA KUTOA TAARIFA KWA WADADISI

WAMILIKI WA VIWANDA WAONGEZEWA MUDA KUTOA TAARIFA KWA WADADISI

Like
264
0
Friday, 24 July 2015
Local News

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaa Muheshimiwa SAID MECK SADIKI amewataka Wamiliki wa Viwanda ambao bado hawajatoa Taarifa za viwanda vyao kwa wadadisi na wasimamizi wa zoezi hilo kufanya hivyo mara moja kwani muda wa kukamilisha zoezi hilo umeongezwa hadi mwisho mwa mwezi wa nane mwaka huu.

Ametoa agizo hilo leo Jijini Dar es salaam ambapo amesema kuwa lengo kuu la sensa ya viwanda ni kukusanya  takwimu  sahihi zinazohusu sekta hiyo hapa nchi pamoja na mkoa kwa ujumla.

Comments are closed.