WANAFUNZI 200 WAPATA ELIMU YA MAZINGIRA NA UMUHIMU WA KUPENDA UTALII

WANAFUNZI 200 WAPATA ELIMU YA MAZINGIRA NA UMUHIMU WA KUPENDA UTALII

Like
357
0
Monday, 17 November 2014
Local News

ZAIDI YA WANAFUNZI 200 wa Shule ya KAC iliyopo Kisongo mjini Arusha wamenufaika na Elimu ya Mazingira na umuhimu wa kupenda Utalii huku lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wa kuzitambua fursa.

Pia Elimu hiyo mpaka sasa imeweza kuzaa matunda shuleni hapo kwani wanafunzi hao wameanzisha Umoja yaani CLUBS wa kupambana na Masuala hayo kuanzia shuleni hadi katika jamii inayowazunguka.

Akizungumza katika mahafali ya Nne ya Shule hiyo Mkurugenzi Mtendaji Profesa CALVIN MAREALLE amebainisha kuwa mpango huo umeanza rasmi mwaka 2010 mpaka sasa wanafunzi Elfu-1 wamenufaika nao.

Comments are closed.