WANAHARAKATI WALISHUTUMU JESHI LA IRAQ

WANAHARAKATI WALISHUTUMU JESHI LA IRAQ

Like
205
0
Monday, 01 June 2015
Global News

WANAHARAKATI wa haki za binadamu wamelishutumu Jeshi la Iraq kwa kushindwa kuokoa maelfu ya watu kufika sehemu salama ya nchi hiyo baada ya wao kukimbia mapigano katika jimbo la Anbar .

wanasema kuwa serikali inayowaongoza ina waislamu wengi wa madhehebu ya Shia inawabagua waisalamu wa madhehebu ya Suni waliokimbia makazi yao kutokana na mashambulizi ya Islamic State aambao nao pia ni Waislamu wa Suni.

Hata hivyo kwa wale wanaojaribu kuingia mji wa Baghdad wanakutana na vikwazo vya barabarani katika mitaa ya mji ambapo hatua za kiusalama kwa ajili ya ulinzi zinachukuliwa.

Comments are closed.