wananchi wagoma kupanda vivuko vya ukerewe.

wananchi wagoma kupanda vivuko vya ukerewe.

Like
940
0
Tuesday, 09 October 2018
Local News

Wananchi wa kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe mkoani mwanza wamegoma kupanda vivuko vya MV Sabasaba na MV Ukara na kutishia kuviponda mawe wakidai kuwa na mashaka na usalama wa vivuko hivyo.

Hii ni kufuatia kuzama kwa kivuko cha Mv Nyerere mapema mwezi septemba na kusababisha vifo zaidi ya 200

MV Sabasaba kivuko kinachotiliwa mashaka na wananchi Ukerewe

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *