WANANCHI WAMETAKIWA KUTUNZA BARABARA

WANANCHI WAMETAKIWA KUTUNZA BARABARA

Like
260
0
Wednesday, 24 February 2016
Local News

SERIKALI imewataka wananchi kutunza barabara zinazojengwa  na Serikali kwa kushirikiana na wafadhili katika Halmashauri zote hapa nchini.

 

Akizungumza Jijini Dar es salaam katika hafla fupi ya kupokea ripoti ya utekelezaji wa mradi wa Ujenzi na ukarabati wa barabara za halmashauri nchini  Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI bwana Mussa Iyombe

amebainisha kuwa mradi huo umefadhiliwa  na  Shirika  la Maendeleo la Japan (JICA) .

 

Kwa mujibu wa Iyombe, Mradi huo unatekelezwa katika Halmashauri  za Iringa,Mufindi,Chamwino na Kondoa. Hata hivyo amewata wakurugenzi wa Halmashauri  ambazo mradi huo unatekelezwa  kutunza barabara hizo ili zilete matokeo yaliyokusudiwa.

Comments are closed.