WASHUKIWA WA MAUAJI WAUAWA MAREKANI

WASHUKIWA WA MAUAJI WAUAWA MAREKANI

Like
228
0
Thursday, 03 December 2015
Global News

POLISI katika jimbo la California wametaja majina ya washukiwa wawili ambao wameuawa na polisi baada ya watu 14 kuuawa kwa kupigwa risasi katika mji wa San Bernardino.

 

Mwanamume Syed Rizwan Farook, mwenye umri wa miaka  28, na mwanamke Tashfeen Malik, mwenye umri wa miaka 27, wameuawa kwenye ufyatulianaji wa risasi na polisi.

 

Mkuu wa polisi wa San Bernardino Jarrod Burguan amesema kuwa

Farook alikuwa ameajiriwa na baraza la mji kwa miaka mitano.

151202223015_sp_california_shooting_2_624x351_ap

Mmoja ya ndugu wa wafiwa akifarijiwa.

Comments are closed.