WATANZANIA wametakiwa kuchangia miradi mbalimbali inayolenga kuboresha sekta ya Elimu.
Hayo yameelezwa na Katibu Mtendaji wa Mradi wa Vitabu Vya Watoto Tanzania PILI DUMEI wakati akielezea mradi huo.
DUMEI amebainisha kuwa Mradi huo unalenga lkuleta mabadiliko mbalimbali hasa kwa Jamii ya wanaopenda kusoma vitabu.