WATANZANIA WATAKIWA KUWEKEZA KATIKA UJENZI WA NYUMBA

WATANZANIA WATAKIWA KUWEKEZA KATIKA UJENZI WA NYUMBA

Like
305
0
Monday, 26 January 2015
Local News

WATANZANIA wametakiwa kujiwekeza katika nyumba ili kuondokana na suala la kupanga na kuondokana na msongo wa mawazo juu ya kodi za nyumba kutokana na vipato vya mtu mmojammoja.

Rai hiyo imetolewa leo jijini Dar es salaam na Meneja Mauzo wa kampuni ya Hifadhi Builders inayojishughulisha na ujenzi na uuzaji wa nyumba ambapo sasa wana mradi wa nyumba wa Dege Eco Vilage uliopo Kigamboni, Catherine Mhina alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika sherehe za miaka 57 ya uhuru wa India.

Amesema kuwa hadi sasa wamejenga nyumba 2,800 na wanatarajia kufanya mradi huo pia jijini Arusha

Comments are closed.