WATU WANAOFANYA KAZI KWA SAA NYINGI WAKO HATARINI KUPATA KIHARUSI

WATU WANAOFANYA KAZI KWA SAA NYINGI WAKO HATARINI KUPATA KIHARUSI

Like
214
0
Thursday, 20 August 2015
Global News

UTAFITI umeeleza kuwa Watu wanaofanya kazi kwa saa nyingi wako hatarini kupata kiharusi,utafiti huo ulifanywa kwa zaidi ya watu laki tano.

Takwimu zilizochapishwa kwenye jarida la kitabibu, Lancet, linaonyesha upo uwezekano wa ongezeko la hatari ya ugonjwa huo kwa watu wanaofanya kazi zaidi ya muda wa kawaida.

 

Wataalam wanasema watu wanaofanya kazi kwa saa nyingi zaidi wawe na utaratibu wa kupima kiwango cha msukumo wa damu na kwamba kufanya kazi kwa muda mrefu zaidi kuliko kawaida na kukaa kwa muda mrefu ni mbaya kwa afya na ongezeko la hatari ya kupata kiharusi.

 

Comments are closed.