WATU WENYE ULEMAVU WAKABILIWA NA CHANGAMOTO YA UPATIKANAJI WA HUDUMA ZA KIJAMII

WATU WENYE ULEMAVU WAKABILIWA NA CHANGAMOTO YA UPATIKANAJI WA HUDUMA ZA KIJAMII

Like
265
0
Thursday, 03 December 2015
Local News

IMEELEZWA kuwa watu wenye ulemavu wanakabilwa na changamoto ya upatikanaji wa huduma za kijamii.

 

Hayo yamebainishwa hii leo katika maadhimisho ya watu wenye ulemavu duniani ambapo kitaifa yamefanyika katika viwanja vya furahisha jijini mwanza.

 

Akisoma risala kwa niaba ya watu wenye ulemavu Blandina Sembo amesema huduma za kijamii zimekuwa miongoni mwa changamoto kubwa kwa walemavu hasa wa kundi la wasiosikia kwa kukosa taarifa muhimu za serikali.

Comments are closed.