WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BANDARI YA DARESALAAM

WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BANDARI YA DARESALAAM

Like
1006
0
Friday, 27 November 2015
Local News

WAZIRI MKUU mheshimiwa Majaliwa Kasim Majaliwa awasimamisha kazi kamishna wa kodi Tiagi Masamaki na Habibu Mpozya kitengo cha huduma kwa wateja kutokana ubadhilifu wa fedha kwa makontena zaidi ya 300 yaliyopotea.

Waziri Mkuu pia  ameamuru kukamatwa kwa maafisa kadhaa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania –TRA,  na wengine kufukuzwa kazi baada ya kufanya ziara ya kushutukiza Bandarini hapo  leo.

Maafisa hao wametakiwa pia kusalimisha pia hati zao za kusafiria.

Comments are closed.