WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZINDUA JARIDA LA KIMATAIFA LA FIRST

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZINDUA JARIDA LA KIMATAIFA LA FIRST

Like
385
0
Thursday, 23 October 2014
Local News

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA amezindua jarida la Kimataifa la FIRST ambalo limesheheni taarifa za kuitangaza Tanzania kwa wadau wa nchi mbalimbali duniani huku likielezea hatua mbalimbali za ustawi kwa miaka 50 tangu nchi ipate uhuru.

Uzindusi huo umefanyika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania jijini London, Uingereza ambako pia Waziri Mkuu amekabidhiwa nakala ya kwanza ya toleo la sasa ambayo imewekwa kwenye jalada.

Akizungumza katika uzinduzi huo, Waziri Mkuu amebainisha kuwa, Serikali ya Tanzania imepata fursa ya kujinadi kwa watu maarufu na Wafanyabiashara wa Kimataifa duniani kupitia jarida hilo na ametaka uwekwe utaratibu wa kujinadi kisekta.

PINDA 2

 

Comments are closed.